Hii ni riwaya inayozungumzia maisha ya kijana aitwaye Utubora. Kama jina lake lilivyo, kijana huyu anajipambanua kuwa ni mtu jasiri, imara, mvumilivu, mwaminifu, mkweli na mwenye misimamo imara katika maamuzi yake.
Utubora Mkulima by Shaaban Robert
SKU: 9789987084760
Ksh590.00Price

















