top of page

Inawezekana kuwa usiku huo haukuhitaji kubadolika hata kidogo.

 

Unaweza soma pia DHOLUO/ENGLISH

 

Kinauza zaidi kwa mujibu wa New York Times. Kimepokea tuzo ya uchoraji ya Corretta Scott King Illustrator Honor Award.

 

Kimepokea tuzo ya Kazi Bora ya Fasihi ya Watoto ya NAACP Image Award. Lupita Nyongo mwigizaji na mshindi wa tuzo ya Academy ametuandikia kitabu cha picha chenye mvuto na ushawishi mkubwa kuhusu rangi kujithamini na kujifundisha ya kwamba urembo wa kweli unatoka ndani mwa mtu. Sulwe ni mweusi tititi. Ni mweusi kuliko kila mtu katika familia yake. Ni mweusi kuliko kila mtu shuleni. Sulwe anataka tu kuwa mrembo na mwerevu kama mamake na dadake. Ghafla safari ya kipekee katika anga ya usiku inamfumbua macho na kila kitu kinabadilika.

Katika kitabu hiki chenye michoro ya Vashti Harrison mwigizaji Lupita Nyong o amefinyanga hadithi ya kusisimua na kuwahamaisha watoto ili wafurahie urembo wao wa kipekee

Sulwe by Lupita Nyong'o (Swahili)

SKU: 9789966822031
Ksh1,350.00Price
Out of Stock

You May Also Want...

bottom of page