iwani hi ina mashairi mseto yatakayomwezesha msomaji kujitanua bila ukinzani wa uguni na usiguni, usasa na umapokeo; hivyo azingatie fani, maudhui na muktadha. Dhana zilizodokezwa ni ukoloni mamboleo, usaliti, mila potofu, ukatili, unyanyasaji wa kijinsia, haki za mtoto, UKIMWI, rushwa, kiwi ya akili, uwajibikaji na nyinginezo.
Kifaurongo by Christopher Bundala Budebah
SKU: 9789987080878
Ksh550.00Price

















