top of page

Wewe ndiye Christopher Liundi, unayetaka kumchumbia Rahma Simba?”
“Ndiyo mzee, tumependana.” Nikaulizwa tena, “Unajua kuwa Rahma ni Mwislamu? Hivyo hatutaki, hatutaki, hatutaki mtoto wetu aolewe na kafiri?”
Nikamjibu, “Mimi sio dini, namuoa mtu, hivyo kila mmoja wetu ataendelea na dini yake.”
“Ukitaka kuendelea na kazi, achana na Rahma.”

Mara Yangu Ya Kwanza

SKU: 9789987084838
Ksh1,100.00Price
Quantity

    You May Also Want...

    bottom of page