top of page

Sidi alipokea zawadi ya kupendeza zaidi kutoka kwa baba yake; hando lenye rangi za upinde wa mvua. Hakuna yeyote katika kijiji chao aliyewahi kuona kitu kama hicho. Alipoamua kuivaa sketi yake mpya kwenye densi ya kijijini, alivunja ahadi aliyoiweka kwa rafiki yake wa chanda na pete, Dama. Kwa kulemewa na wivu, Dama anapanga njama ambayo inahatarisha uhusiano wao. Je, wasichana wawili hao watafanikiwa kuuchagua urafiki wao kuliko vitu vingine wanavyomiliki?

Uhasidi wa Dama

Rating is 0.0 out of five stars based on reviews
SKU: 9789966623959
Ksh420.00Price
Out of Stock

    You May Also Want...

    bottom of page