top of page

Safari ya Usingizi na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zilizoandikwa na Stanley Gazemba.Hadithi katika mkusanyiko huu zimeandikwa kwa ubunifu na zinamfanya msomaji akereke na utapeli unaotamalaki katika jamii. Ni hadithi zinazifichua uozo, ubaya, ulaghai na matendo mengine yasiyokua na uadilifu katika jamii. Masuala yaliyoshighulikiwa katika mkusanyiko huu yanaibua udadisi wa msomaji na mwanafunzi ili kujua mambo ambayo  hafai kufanya katika jamii.

Safari ya Usinigizi na Hadithi Nyingine by Stanley Gazemba

SKU: 9789966623362
Ksh480.00Price

    You May Also Want...