top of page

Vitabu vya Nyota vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni He yenye kuvutia na hadithi zenyewe ni za kubu-rudisha. Mkola na Mwizi wa Vitabu ni hadithi inayotusimulia kisa cha jinsi msichana mdogo shujaa alivyokabiliana na uhalifu wa wizi. Kisa hiki kitakusisimua na kukufundisha mengi.   

 

Mkola na Mwizi wa Vitabu by Jackson Kalindimya

SKU: 9789966251589
Ksh350.00Price
Quantity
Out of Stock

    You May Also Want...

    bottom of page