top of page

Urafiki wa Nyani na Kobe ni wa kupigiwa mfano pale msituni. Marafiki hawa wawili wana ushirikiano mkubwa hadi pale Nyani alopomwandalia mwenzake karamu. Je, ni matukio gani yanayofanyika karamuni? Kobe atamwandalia karamu rafikiye Nyani pia au atauvunja urafiki wao? 

Karamu ya Nyani na Kobe by Stanley Gazemba

SKU: 9789966623164
Ksh420.00Price

    You May Also Want...